Showing posts with label Video. Show all posts
Showing posts with label Video. Show all posts

Wednesday, January 3, 2018

Rais Magufuli ahaidi neema kwa wazabuni na walimu wanaoidai serikali


Waziri Ofisi ya Rais ateta na watumishi Arusha DC






Wednesday, December 13, 2017

Rais Magufuli asamehe wafungwa 8,157 siku ya Uhuru 09.12.2017


Friday, December 8, 2017

Waziri wa Ardhi apiga marufuku wamiliki wa nyumba kuwalazimisha wapangaji kulipa kodi ya miezi sita


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Wiliam Lukuvi amepiga marufuku kwa wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwalazimisha wapangaji wao kulipa kodi ya miezi sita labda mpangaji aamue mwenyewe.

Waziri TAMISEMI awataka Wakuu wa Idara za Kilimo kuwa na Mipango kazi yao na Maafisa Ugani wote walio chini yao



Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Seleman Jafo amewataka Wakuu wa Idara za Kilimk katika halmashauri zote nchini kuwa na Mpango Kazi wake binafsi na Mipango Kazi ya Maafisa Ugani wote waliochini yake na kuisimamia utekelezaji wake,

Saturday, November 18, 2017

Waziri Jafo awataka Wakuu wa Idara za Kilimo kuwa na Mpango kazi



Waziri  Ofisi ya Rais - TAMISEMI mheshimiwa Seleman Jafo awataka  Wakuu wa Idara za Kilimo katika halmashauri kuwa na mpango kazi wa Idara na mpango kazi wa Maafisa Ugani wote.

Matangazo

Matangazo