Saturday, November 18, 2017

Waziri Jafo awataka Wakuu wa Idara za Kilimo kuwa na Mpango kazi



Waziri  Ofisi ya Rais - TAMISEMI mheshimiwa Seleman Jafo awataka  Wakuu wa Idara za Kilimo katika halmashauri kuwa na mpango kazi wa Idara na mpango kazi wa Maafisa Ugani wote.

No comments:
Write comments

Matangazo

Matangazo