Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa Selemani Jafo akizungumza na watumishi wa makao makuu halmashauri ya Arusha wakati wa ziara yake ya siku moja katika halmashauri hiyo.
Aidha Mheshimiwa Jafo amezungumza na wananchi wa kata za Nduruma na Mlangarini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kituo cha Afya Nduruma.
No comments:
Write comments