Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Alpha Conde na rais wa Guinea Conakry ametolea wito baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kulipa kiti bara la Afrika cha kudumu kati ya viti vitano na kiti kimoja kisichokuwa cha kudumu katika baraza la Umoja wa mataifa.
Vile vile muakilishi na mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ameomba kupewa uwezo wa kura ya turufu sawa na wajumbe wengine katika baraza la Umoja wa Mataifa.
Hayo Alpha Conde aliyasema katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mjini New York.
No comments:
Write comments