Jicho la Kamera yetu limebahatika kuwakuta baadhi ya Watumishi wa Makao makuu Halmashauri ya Arusha Wilayani Arumeru wakifanya Usafi wa Mazingira nje ya jengo la ofisi zao kwenye siku maalum ya Usafi ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments