Saturday, August 12, 2017

Wambura ashinda nafasi ya makamu wa rais TFF na kuapishwa

Michael Wambura ameshinda nafasi ya Makamu wa Rais wa TFF katika uchaguzi uliofanyika jana Dodoma na tayari ameapishwa.

No comments:
Write comments

Matangazo

Matangazo