Wednesday, June 28, 2017

Chereke Chereko




Mtumishi wa Halmashauri ya Arusha ndugu Godfreay Mponda ameuaga ukapera baada ya kufunga pingu za maisha na Bi. Gloria Abdallah katika kanisa la Katoliki Parokia ya Ngulelo Jimbo la Arusha na baadaye kufanya sherehe katika Ukumbi wa Police Mesi Arusha.

Bwana harusi ni Dereva katika halmashauri ya Arusha na Bi. harusi ni  Mfanyabiashara eneo la Kijenge.

No comments:
Write comments

Matangazo

Matangazo