Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera anawatangazia wananchi wote wakazi wa Halmashauri ya Arusha kuhudhuria kwenye Mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani utakafanyika kesho tarehe 08.02.2018 kwenye Ukumbi wa Mikutano kuanzia saa 04.00 asubuhi.
Mkutano huo ni wa wazi wananchi wote mnatakiwa kuhudhuria mkutano huo ili kufahamu zaidi utekelezaji wa shughuli za Maendeleo za halmashauri yenu.
No comments:
Write comments