Wednesday, November 8, 2017

Ndugai ataka maelezo kutoka Serikalini kuhusu mikopo ya wanafunzi


Spika wa Bunge Job Ndugai ameitaka Serikali kutoa maelezo bungeni leo jumatano ya Novemba 8 baada ya kipindi cha maswali na majibu kuhusu suala la mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu  kutakiwa walipe pesa kwanza chuoni halafu ndo waruhusiwe kusaini fomu za kuingiziwa fedha zao


No comments:
Write comments

Matangazo

Matangazo