Monday, September 4, 2017

Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Halmashauri ya Arusha


Mwenge wa Uhuru 2017 umekimbizwa katika Halmashauri ya Arusha na kukimbizwa umbali wa Kilomita 88 katika kata 7 na kupitia jumla ya Miradi 7 iliyogusa sekta za Elimu, Afya, Maji, Viwanda na  Uvuvi yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6  fedha hizo zimetokana na vyanzo mbalimbali ikiwa kiasi cha  Nguvu za wananchi,  Mapato ya Ndani ya Halmashaurifedha kutoka Serikalini  pamoja na Michango ya Wadau wa Maendeleo.



  K      Kiongozi wa Mbio Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour akizindua Bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Mwandet kata ya Mwandet  lenye uwezo wa kulaza jumla ya wanafunzi 80.

    iii.       

             Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour akizindua  ujenzi wa vyumba vinne vya Madarasa ya kidato cha tano na sita shule ya Sekondari Mwendet kata ya Mwandet ywnyw uwezo wa kusomea wanafuzni 160.



 Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour akimsikiliaza Mwanafunzi wa Klabu ya Wapinga Rushwa shule ya Sekondari Mwandet akitoa maelekezo kwa njia ya picha ikionyesha ukubwa wa rusha katika nchi yetu ya Tanzani.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour akifunga jengo la Kitua cha Afya Engorora kata ya Kisongo.

Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 akikagua jengo la Kituo cha Afya Engorora


Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Arusha Dk. Lucas Kazingo akisoma Taarifa ya Mradi wa Kituo cha Afya Engorora mbele ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa 2017 wakati wa ufunguzi wa kituo hicho.



Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour akifungua Mabwawa mawili ya Kufugia Samaki kwenye shamba la Trust St. Patrick kwenye kata ya Olorieni. 


Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour akiweka chakula kwenye Bwawa la Samaki mara baada ya kufungua mradi huo.


Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour akikagua kivuko cha Moivo ili kujua ubora wa Kivuko hicho ukilinganisha na gharama zilizotumika "Value for Money" mara baada ya kuzindua Kivuko hicho


Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour akimkabidhi mkopo kwa mmoja wa wanawake kwnye Vikundi vya wanawake, ambapo Kiongozi huyo alikabidhi mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 100 kwa vikundi  23 vya wanawake na vijana 




Wakimbiza  Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 wakikagua na kuchunguza Miundombinu ya Tanki la Maji la Ekenywa kwa ajili ya kujiridhisha kabla ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour kuweka Jiwe la Msingi kwenye mradi huo.



 Ku     Kiongozi wa Mbio Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour akiweka Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Tanki la Maji Ekenywa  kata ya Olturumet lenye Ujazo wa Mita 60 sawa na lita 60,000 mradi uliogharimu  kiasi cha shilingi 58,448,099.45.



 Kuw    Kiongozi wa Mbio Mwenge wa Uhuru kitaifa 2017 ndugu Amour Hamad Amour akizungumza na wananchi wa Kitongoji cha Ekenywa baada ya kuweka  Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Tanki la Maji Ekenywa  kata ya Olturumet.


Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2017 Ndugu Amour Hamad Amour akiangalia hatua za mwisho za utengezaji wa vifungashio aina ya boksi  kwenye Kiwanda cha 'Active Packaging' mara baada ya kuzindua Kiwanda hicho kwenye kijiji cha Loovilukuny.


Mkurugenzi Mtendaji HaMkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha Dk. Wilson Mahera akimkabidhi Mwenge wa Uhuru 2017 Mkurugenzi wa Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru ndugu Christopher Kazeri mara baada ya kukamilisha mbio zake katika Halmashauri yake.













No comments:
Write comments

Matangazo

Matangazo