Monday, November 6, 2017

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Wakurugenzi wa Manispaa ya Bukoba na Bukoba Vijijini MUUNGWANA BLOG / 14 hours ago  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Bw. Erasto Mfugale na Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini Bi. Mwantumu Dau wakisubiri kupangiwa kazi nyingine. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Bw. Erasto Mfugale na Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini Bi. Mwantumu Dau wakisubiri kupangiwa kazi nyingine.


No comments:
Write comments

Matangazo

Matangazo