Saturday, August 26, 2017

Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha zaungua moto

Ofisi za IMMMA Advocates zinazomilikiwa na  wanasheria Fatuma Karume na Lawrence Masha zilizopo Upanga jijini Dar es Salaam, zimewaka moto leo asubuhi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika. Chanzo cha moto huo na hasara iliyosababishwa, bado havijafahamika na habari zaidi zitaendelea kukujia.

No comments:
Write comments

Matangazo

Matangazo