Friday, December 8, 2017

Waziri wa Ardhi apiga marufuku wamiliki wa nyumba kuwalazimisha wapangaji kulipa kodi ya miezi sita


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Wiliam Lukuvi amepiga marufuku kwa wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwalazimisha wapangaji wao kulipa kodi ya miezi sita labda mpangaji aamue mwenyewe.

No comments:
Write comments

Matangazo

Matangazo
Loading...