Sunday, December 3, 2017

Mama Samia mgeni rasmi siku ya watu wenye ulemavu




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekuwa mgeni rasmi keenye siku ya Kimataifa ya watu wenye Ulemavu Duniani iliyoadhimishwa mkoa wa Kusini Unguja
 
"Kauli mbiu ni Mabadiliko kuelekea jamii jumuishi na maendeleo endelevu kwa wote"

Makamu wa Rais akipata maelezo kutoka kwa kikundi cha Walemavu kutoka Mwembe Makumbi kinachojishughulisha na kutengeneza viatu wakati alipotembelea maonyesho ya walemavu katika uwanja wa Skuli ya Uzini.

No comments:
Write comments

Matangazo

Matangazo
Loading...