Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Bw. Erasto Mfugale na Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini Bi. Mwantumu Dau wakisubiri kupangiwa kazi nyingine.
Monday, November 6, 2017
Rais Magufuli atengua uteuzi wa Wakurugenzi wa Manispaa ya Bukoba na Bukoba Vijijini MUUNGWANA BLOG / 14 hours ago  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Bw. Erasto Mfugale na Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini Bi. Mwantumu Dau wakisubiri kupangiwa kazi nyingine. 
Similar Posts
Previous
MAGAZETI YA LEO 7/11/2017
MAGAZETI YA LEO 7/11/2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments