
Timu ya Taifa ya Soka ya Zimbabwe imetwaa ubingwa wa mashindano ya COSAFA2017 baada ya kuifunga Timu ya Taifa Zambia mabao 3-1.
Magoli ya Zimbabwe yalitiwa wavuni na 22' K. Mutizwa, 57' T. Chawapiwa pamoja na 67' O. Mushure
Huku goli moja la Zambia kifungwa na 39' L. Mundia.
No comments:
Write comments