Monday, August 7, 2017

Sifa 10 za wanaomba mikopo HESLB


 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa wanafunzi watakaojiunga na vyuo vikuu mwaka wa masomo 2017/2018 na tayari imeanza kupokea maombi ya mikopo kuanzia tarehe 6 Agosti 2017 hadi tarehe 4 Septemba, 2017.

Wanafunzi wanaoomba mikopo wanasisitizwa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 pamoja na taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa https://olas.heslb.go.tz

Sifa za msingi za mwombaji wa mkopo ni kama zinavyosomeka hapo chini;


No comments:
Write comments

Matangazo

Matangazo
Loading...